Samurai

Mfahamu Yasuke: Mwafrika Pekee Katika Historia Aliyewahi Kua Samurai

Video hii inaelezea kuhusu mtu huyu aliyefamika kama Yasuke, Samurai mweusi. Alikua na urefu wa Zaidi ya futi 6, na ilikadiliwa kua ana nguvu Zaidi ya wajapan 10.

Mpaka muda huu,Japan haikua tayari kushuhudia kilichokua kinakuja mbele yao.Inaamika Yasuke inawezekana ndio mtu mweusi wa kwanza kuweza kufika nchi ya Japan mwaka 1579, chini ya mmissionari wa Kijesuit, Allessandro Valignano.

Mshangao wa kumwona mtu huyu mweusi ulikua mkubwa kiasi cha raia kuvunja mlango wa jengo la Wajesuit ili waweze kupata nafasi ya kumwona mtu huyo mweusi, katika purukushani hizi za mshangao, watu kadhaa walifariki

Habari za mtu flani mweusi zilisambaa kwa kasi mji mzima, hali iliyopelekea taarifa hizi kumfikia kiongozi mkuu wa kipindi hicho, Oda Nabunaga. Mtu ambaye alikuja kubadilisha mwelekeo mzima wa maisha ya Yasuke.

Malizia kisa hichi cha kweli kwa kutizama video yote mwanzo hadi mwisho. Tupe maoni ya namna ya kuboresha video zetu katika sehemu ya maoni hapo chini.

Tunawashukuru wale waliosubscribe channel yetu, na wale wanaopanga kufanya hivyo. Bonyeza alama ya kengele mara tu baada ya kusubscribe ili uweze kutaarifiwa kila mara tunapoweka video mpya.

Music and sound effects used are from YouTube Audio Library

#Yasuke #Samurai #Japan

Accorhotels.com (アコーホテルズ)
Translate »